Wake zetu mnakwama wapi....?

Unaweza kushangaa viburi vyote hivyo kumbe mwenzako anakasirika upo naye muda wote unampunguzia muda wa kufanya ishu zake za bwana mkunaji wake na pengine bwanamkunaji huko anamtibua kuwa kapunguza mawasiliano kwahiyo zile hasira zote zinaelekezwa kwako mume
 
Hili neno ngoja nianze kufanya upembuzi
 
Tulio single.. tuna-enjoy sana life. Poleni mliooa na kufungwa pingu MBAYA KABISA za maisha. Asilimia kubwa siku izi watu wamekosea kuoa au kuolewa. Ndoa ni stress tupu
 
We date....

We love each other...

Every one of us has his/her own life...

Every one of us lives in his/her own house...

Mahaba is our unity...[emoji2956]
Dawa yenu ni minanduo tu hakuna namna yaani Hadi mvione vimichepuko takataka
 
Dawa yenu ni minanduo tu hakuna namna yaani Hadi mvione vimichepuko takataka
usikute mtu ana tafakari zake mambo yake mixa madeni unaenda kumpigia mikelele kelele ya ki-hadija kopa πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…