wa kwetu hapendi sana mambo ya public ndivyo alivyo na huwezi kumlazimisha kumbadilisha hali hiyo.....na ndiyo maana toka zamani wakati mume wako yupo ktk nafasi mbalimbali za uongozi yeye hukuweza kumuona wala kumsikia kwenye public tofauti na wake za viongozi wengine.......kuna suala la hulka ya mtu kwa jinsi alivyozaliwa.Wa kwetu hana furaha,.sidhani kama ataweza kuwa hata mwenyekiti wa TWAWEZA kitaifa..
Sawa,.lakini ana wajibu na haki ya kuonekana hata kwa mwaka mara 1 kwenye shughuli za kijamii kama mama wa nchi,.wa kwetu hapendi sana mambo ya public ndivyo alivyo na huwezi kumlazimisha kumbadilisha hali hiyo.....na ndiyo maana toka zamani wakati mume wako yupo ktk nafasi mbalimbali za uongozi yeye hukuweza kumuona wala kumsikia kwenye public tofauti na wake za viongozi wengine.......kuna suala la hulka ya mtu kwa jinsi alivyozaliwa.
yap na amekuwa akienda sana kwenye kambi za wazee wasijiweza kama huko Singida,Tabora,Morogoro Sukamahela na sehemu zingine.Inategemea pia wanawake wenzake wanamtumiaje na kumshirikishaje kwenye public.mfano anaweza kuwa anaombwa kuwa mgeni rasmi katika matukio ya kitaifa hasa yanayohusu wanawake itamsaidia na yeye kuweka nguvu kwenye mambo ya jamii....,Katiba haimpi sehemu ya utendaji kwa mke wa Rais bali ni matakwa ya washauri wa Rais ktk kumfanya mke wa rais awe active kijamii.Sawa,.lakini ana wajibu na haki ya kuonekana hata kwa mwaka mara 1 kwenye shughuli za kijamii kama mama wa nchi,.
wa kwetu hapendi sana mambo ya public ndivyo alivyo na huwezi kumlazimisha kumbadilisha hali hiyo.....na ndiyo maana toka zamani wakati mume wako yupo ktk nafasi mbalimbali za uongozi yeye hukuweza kumuona wala kumsikia kwenye public tofauti na wake za viongozi wengine.......kuna suala la hulka ya mtu kwa jinsi alivyozaliwa.
Wakwetu aliolewa na alokulia kwenye mfumo dume,wanapoamini mwanamke si lolote na hawezi lolote zaid ya kuzaa na kulea.Hata akipelekwa shule atasoma vikozi vya kimaskin kama uticha wa grade 3A basiWa kwetu hana furaha,.sidhani kama ataweza kuwa hata mwenyekiti wa TWAWEZA kitaifa..
Hakuzaliwa hivyo,ila kakulia kwenye jamii yenye mfumo dume ulokomaa,you go figure
Inasikitisha sana,.nafasi ya first lady inakaliwa na bashite..doh!!!Wakwetu aliolewa na alokulia kwenye mfumo dume,wanapoamini mwanamke si lolote na hawezi lolote zaid ya kuzaa na kulea.Hata akipelekwa shule atasoma vikozi vya kimaskin kama uticha wa grade 3A basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah mwehInasikitisha sana,.nafasi ya first lady inakaliwa na bashite..doh!!!
nadhani walimu wa grade 3 ndiyo waliokufundisha na wewe pia sio wa kuwadharau nani amekuambia mtu anasomea ualimu ili awe tajiri au udakatari ili awe tajiri au u nerse ili awe tajiri...ukitaka kuwa tajiri nenda kafanye biashara.Wakwetu aliolewa na alokulia kwenye mfumo dume,wanapoamini mwanamke si lolote na hawezi lolote zaid ya kuzaa na kulea.Hata akipelekwa shule atasoma vikozi vya kimaskin kama uticha wa grade 3A basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Namwona mama Uhuru Kenyatta palenadhani walimu wa grade 3 ndiyo waliokufundisha na wewe pia sio wa kuwadharau nani amekuambia mtu anasomea ualimu ili awe tajiri au udakatari ili awe tajiri au u nerse ili awe tajiri...ukitaka kuwa tajiri nenda kafanye biashara.
Suala la tamaduni zetu hapo nakuelewa kuwa mila mila nyingi za africa ni kandamizi kwa wanawake.
sijuiNamwona mama Uhuru Kenyatta pale
Safi sana
Hivi naye alisomea ualimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mbona wakisoma wasifu wa mumewe..wanasema "ana mke na watoto kadhaa" ina naana hawahesabiki?alivyozaliwa...
wapi umesikia hiyo taarifa na nani amesoma hiyo taarifa?Hivi mbona wakisoma wasifu wa mumewe..wanasema "ana mke na watoto kadhaa" ina naana hawahesabiki?
Sent using Jamii Forums mobile app