Wake wa Marais wana nafasi za kusaidia kupambana na changamoto za jamii zetu

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,788
4,490
DzCNEZlWwAArq-e.jpg

First lady, Maragaret Kenyatta has unanimously been elected as the Vice chair-person of the Organization of African first ladies against HIV/AIDS, deputizing Burkina Faso first lady; Mrs. Sika Bvella Kabore, the current chairperson of the continental organization.
 
Wa kwetu hana furaha,.sidhani kama ataweza kuwa hata mwenyekiti wa TWAWEZA kitaifa..
wa kwetu hapendi sana mambo ya public ndivyo alivyo na huwezi kumlazimisha kumbadilisha hali hiyo.....na ndiyo maana toka zamani wakati mume wako yupo ktk nafasi mbalimbali za uongozi yeye hukuweza kumuona wala kumsikia kwenye public tofauti na wake za viongozi wengine.......kuna suala la hulka ya mtu kwa jinsi alivyozaliwa.
 
Sawa,.lakini ana wajibu na haki ya kuonekana hata kwa mwaka mara 1 kwenye shughuli za kijamii kama mama wa nchi,.
 
yap na amekuwa akienda sana kwenye kambi za wazee wasijiweza kama huko Singida,Tabora,Morogoro Sukamahela na sehemu zingine.Inategemea pia wanawake wenzake wanamtumiaje na kumshirikishaje kwenye public.mfano anaweza kuwa anaombwa kuwa mgeni rasmi katika matukio ya kitaifa hasa yanayohusu wanawake itamsaidia na yeye kuweka nguvu kwenye mambo ya jamii....,Katiba haimpi sehemu ya utendaji kwa mke wa Rais bali ni matakwa ya washauri wa Rais ktk kumfanya mke wa rais awe active kijamii.
 
Ni hulka yake jinsi alivyozaliwa au ni jinsi anavyonyanyasika?
wa kwetu hapendi sana mambo ya public ndivyo alivyo na huwezi kumlazimisha kumbadilisha hali hiyo.....na ndiyo maana toka zamani wakati mume wako yupo ktk nafasi mbalimbali za uongozi yeye hukuweza kumuona wala kumsikia kwenye public tofauti na wake za viongozi wengine.......kuna suala la hulka ya mtu kwa jinsi alivyozaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakwetu aliolewa na alokulia kwenye mfumo dume,wanapoamini mwanamke si lolote na hawezi lolote zaid ya kuzaa na kulea.Hata akipelekwa shule atasoma vikozi vya kimaskin kama uticha wa grade 3A basi

Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani walimu wa grade 3 ndiyo waliokufundisha na wewe pia sio wa kuwadharau nani amekuambia mtu anasomea ualimu ili awe tajiri au udakatari ili awe tajiri au u nerse ili awe tajiri...ukitaka kuwa tajiri nenda kafanye biashara.

Suala la tamaduni zetu hapo nakuelewa kuwa mila mila nyingi za africa ni kandamizi kwa wanawake.
 
Namwona mama Uhuru Kenyatta pale
Safi sana
Hivi naye alisomea ualimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom