mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
hahaha choo atatumia kwangu.kipo choo choo cha nje.nyumba room 2 inamtosha siyamudatu.Hapo itabidi kujenga gorofa ndefu kuliko kiwanda cha unga limiii
Aisee mkulu ya chuga mi naomba kiwanja ungalimii ili niwe na mamaa prado CC: Preta & Blaki Womani
Aaaah karibu sana aisee nipo kwa mrombo hukuNoo,unga limii ilinifurahisha,nkakumbuka ngaleloo..!
Sijariza kwani duka rote shiringi ngapi............Kaka hata mimi unanifanyia majungu?
Mi napenda ungalimii ili niwe navaa jeans tait na viatu vikubwa afu bispis mfukoni......!
Preta my love, nipo mbali, yaepuke majaribu haya, najua upo strong, ila kinga ni bora kuliko tiba, chonde uwe guest kwa hii thread.Aisee mkulu ya chuga mi naomba kiwanja ungalimii ili niwe na mamaa prado CC: Preta & Blaki Womani
Preta knows every thing kuhusu mimi, mali zangu za kuzaliwa nazo na zile za kubangaiza hapa duniani yeye anazijua, sioni haja kuja kujinadi hapa wakati Preta ni wangu, ya nini malumbano hapa Jf juu ya huyu mwandai wangu? NajiwekAa pembeni naepusha msongamano bhana!!Kwani Preta ni my love wako?
Una Prado 2 mpya new model?