GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,922
Amepita Kwingi tu kwanini huko kote hakuugua na ameanza Kuugua baada ya Uteuzi?
Kwani hata Uteuzi wake Mtangulizi wake Machoni alikuwa anaonekana hana Furaha?
Kwanini Uteuzi wake ulisifiwa na Wakatoliki wengi huku wakisema kuwa angalau sasa Kanisa limempata Mtu wa Misimamo mikali kuliko aliyekuwepo ambaye alianza Kuchanganya Ukatoliki na Siasa?
Kwanini hata Uteuzi wake ulionekana kuwa Tishio kwa wale ambao wanapenda Kuogopwa na Kusujudiwa?
Kwanini aliyeondoka hajasema hata neno lolote lile kwa Mteuliwaji hasa Kipindi hiki Mkatoliki huyu anaumwa?
Kwanini Mkatoliki Mteuliwaji na Mgonjwa sasa alikuwa havutiwi kivile na Utawala wa Mkatoliki aliyeondoka?
Kwanini hivi sasa kuna idadi Kubwa ya Watu wasio Wakatoliki mahala anapotibiwa Mteuliwaji?
Si vibaya pia kama tukijiandaa Kisaikolojia kwa lolote lile japo tunajua Mwenyezi Mungu nae huwa anaweza Kulizuia Jambo baya Kwako.