Wakati wengine wanaume tunajitafutia matatizo wenyewe

jaribu ulete mrejesho afu usisahau kunitag
 
Yaani Unaokot njiani tu. Tulia na mmoja ndugu

we inakuhusu nini? ina maana we hujawahi tongozwa njiani au kwenye chombo cha usafiri haijalishi iwe bajaji au ndege..... kaka mtoa mada kale kitu msambwanda badae hata uni pm mrejesho wa shughuli ilikuaje mkuu
 
weekend nimelala weeee maskani nikasema leo ngoja nipite mtaani kwakuwa nasikia ukitaka extrem sikuhizi lazma uzame uswazi hasaaaa, huku na huku huku na huku ngoma hili hapa, tako linaenda huku linarudi kule linaenda huku,

Nikajitosa stori mbili tatu nikaomba no ya simu, akanifokea fokea pale we no yangu ya nini,nikamjibu aaaaah dada sehemu yenyewe tumesimama mbaya hii nipe no mengine tutaongea, haya andika akanijibu.........,badae nimetulia maskan nikamtext ahsante kwa no, akapiga kwani we nani? heeeee nikamwambia me tulikutana hapo....

Ukanitukana alafu ndo ukanipa no akacheeeeeeka aaaah sawa, tukaanza kuchat weeeee nikamwambia ebwana sie watu wazima mambo ya ooooh nimekupenda,sikui nataka nikuoe,mara nimekuota sio wakati wake....bwana eeeee me nataka mzigo huo jibu lake ndilo linanifanya nishindwe kujibu sasa, ananiambia utaniweza lakini?una ......boo ndefu??

Me mwenzio nikiliamsha dude sina masihara .....dah sasa nikimkumbuka jinsi alivyo bonge la shepu mpaka anatembea kwa shida kweli!MWISHOWE NIKAJISEMEA MAJI NIMEYAVULIA NGUO LAZMA NIYAOGE
Itaendelea!?
 
ahsante kwa kunipa go ahead mkuu,wanaume lazma tuteteane jamani,maana hawa wadada wanataka kutupanda kichwani
 
HUaga sielewi, sijui ni kwanini mademu wa kizazi hiki ukitongoza kwa simu (either facebook, whatsapp na au sms za kawaida) hua hawakatai kama ile ya face 2 face.
 
Anaonekana ndefu hana lakini namkubali maana hataki ujinga kama mimi akiyavulia lazima ayaoge hata yawe ya kunyonyolea kuku[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
ha haha atamuaibisha ajue
 
Kwasababu ni goma lakuokota tu(loose ball)...nenda kapige tu hata kama una kibamia,lisipolizika shauri yake!
 
aiseee mwanaume ni mwanaume tu akosi mbinu za kugegeda 😀😀😀
 
weekend nimelala weeee maskani nikasema leo ngoja nipite mtaani kwakuwa nasikia ukitaka extrem sikuhizi lazma uzame uswazi hasaaaa, huku na huku huku na huku ngoma hili hapa, tako linaenda huku linarudi kule linaenda huku,

Nikajitosa stori mbili tatu nikaomba no ya simu, akanifokea fokea pale we no yangu ya nini,nikamjibu aaaaah dada sehemu yenyewe tumesimama mbaya hii nipe no mengine tutaongea, haya andika akanijibu.........,badae nimetulia maskan nikamtext ahsante kwa no, akapiga kwani we nani? heeeee nikamwambia me tulikutana hapo....

Ukanitukana alafu ndo ukanipa no akacheeeeeeka aaaah sawa, tukaanza kuchat weeeee nikamwambia ebwana sie watu wazima mambo ya ooooh nimekupenda,sikui nataka nikuoe,mara nimekuota sio wakati wake....bwana eeeee me nataka mzigo huo jibu lake ndilo linanifanya nishindwe kujibu sasa, ananiambia utaniweza lakini?una ......boo ndefu??

Me mwenzio nikiliamsha dude sina masihara .....dah sasa nikimkumbuka jinsi alivyo bonge la shepu mpaka anatembea kwa shida kweli!MWISHOWE NIKAJISEMEA MAJI NIMEYAVULIA NGUO LAZMA NIYAOGE
Liamshe dude tu kaka
 
Back
Top Bottom