Wakati ukuta

Ha ha! Huyu binadamu sijui alikumbwa na nini!! Ila sio kusema ati awamu hi kwani hata ktk awamu nyengine watu hawakuwa na matatizo..? Okay mbona wengine wanaendelea na kazi...
 
Baada ya kuondoka ile dhana ya wa TZ sote ni ndugu, ndio imefikia kutihurumuana hata wakati wa shida
 
Awamu ya 5 kila mtu analia mbaya sana wanaochekelea ni wasukuma wachache wanaoiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…