barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Wale watu wazima wenzagu, enzi hizo hakuna cha "Isidingo The Need" wala sijui Tamthilia za Kifilipino. Ilikuwa ni "mikanda" ya ngumi na ile ya kivita. Vurumai za makomandoo na vita vya Wavietnam na USA.
Huwezi kuongelea "mikanda" ya ngumi bila kumtaja Rambo, Bolo Yang(You are Next) na kina Rambo. Hawa jamaa walitisha sana,l akini leo hii ndio hali yao.