Wakati tukisubiri hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake, tutafakari kidogo

Mkuu kesho nimeaga kwenye kibarua mapema ,lazima kiongonzi wangu nisikilize KESI yake, maisha tunapita ila HAKI itabaki KWa jamii yangu iliyonizunguka iwe jua au mvua na kizazi changu pia , chi imekua na wahuni Sana KILA mtu anavutia kwake ,anzia vyama uchwara , mashirika ,japo ukimwangalia wamekauka hata pesa hawana , Mungu anasema watakoma Sana wasubili
 
Karibu sana , nitawaletea moja kwa moja kutoka kizimbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…