Wakati tukisubiri hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake, tutafakari kidogo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,434
215,206
Tusome kwa umakini

Jaji%3A_Maelezo_yanayobishaniwa%2C_maelezo_yalichukuliwa_Nje_ya_muda%2C_Je_ulitoa_hayo_maelezo...jpg

Kesho_ni_hukumu_Ndogo_kwenye_kesi_Ndogo_ya_Mh._Freeman_Mbowe_na_wenzake..jpg

instagram.jpg

instagram(1).jpg

%23MboweSioGaidi.jpg

FB_IMG_1570488518462.jpg
 
Mkuu kesho nimeaga kwenye kibarua mapema ,lazima kiongonzi wangu nisikilize KESI yake, maisha tunapita ila HAKI itabaki KWa jamii yangu iliyonizunguka iwe jua au mvua na kizazi changu pia , chi imekua na wahuni Sana KILA mtu anavutia kwake ,anzia vyama uchwara , mashirika ,japo ukimwangalia wamekauka hata pesa hawana , Mungu anasema watakoma Sana wasubili
 
Karibu sana , nitawaletea moja kwa moja kutoka kizimbani
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom