Wakati si milele

Siku hazigandi hawapo tena kilichobaki ni historia
 
Ila huyo wa pili nadhani sasa wanajutia kitendo walichomfanyia
 
Huyo wa kati apo namkumbuka nikiangalia move ya Aradin dictator
 
Vibaraka wa nchi za magharibi huko libya sasa wanajuta. Walitema BIG G kwa karanga za kuonjeshwa na sasa inakula kwao na raia wasio na hatia
 
Mobutu Sesseseko Kukubendu wa Zagamba! Bilionea wa kwanza mweusi ulimwenguni!
 
Wanajuta sio siri ila maji yalishamwagika

Miezi michache baada ya kuuawa vijana Libya wakaanza kulalamika wanataka kufunga ndoa hawajui nani atawalipia mahari... Kutumiwa na Nchi za Magharibi ogopa sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…