TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Hatuko tayari kuwa na padri mzinzi hata pengo analijua
Hatuko tayari kuwa na padri mzinzi hata pengo analijua
Kanisa katoliki walimtosa watanzania pia wamemtosa nan anaitaji wazinzi
Ungozi wa chama tu ni vita jee ungozi wa nchi? Huyu babu akipewa nafasi hatatoka mpaka mauti yamkute na hata hivyo atarithi mwanaye au josephine
Mzee Mandela ni Nyota ya Africa. Ni kati ya Viongozi wa Africa wenye matumaini kwa wananchi na wanaotoa kauli zinazotenda. Natofautisha viongozi wa sasa kazi yao ni Kauli mbiu tu, mikakati, michakato, na ufisadi tu.
Kuna Kiongozi mmoja wa hapa Tanzania alipewa Hotel, South Africa, akamwalika Mzee Madiba, Mzee Madiba akakataa.
Dkt. Slaa ndo kiongozi tumaini la watanzania, Dkt. Slaa ndo Kiongozi mwenye Vision kwa Tanzania. Kura zetu tumpe Dokta Slaa 2015.
wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA
Yaani nyie ndio mazumbukuku kwelii. Yaani mnajaribu kulinganisha sisimizi (Slaa) na mtu mwenye akili. Onyesha angalau moja tu Slaa analofanana na Mandela