Wakati nikimkumbuka Mzee Madiba,natamani Dr Slaa aongoze kipindi kimoja tu[2015-2020]

Dr. Slaa hatakuwa na mpizani. Tunalotaka na kulisistiza ni ulinzi wake ili aifikie iyo 2015.
 
Wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.

JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR. W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA.

You must be sick my fiend! dont dream at dayight! how come for the person who cant lead his small party to takecare of the huge majority of Tanzanian.I feel o san of you.A man who is hungery of power.
 
Wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.

JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR. W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA.

You must be sick my friend! dont dream at daylight! how come for the person who cant lead his small party to takecare of the huge majority of Tanzanian.I feel so sad of you.A man who is hungery of power.
 
Vice-versa is true
 
Do you know what is hungery?you must be crazy or umebugh meeeeen!
 
NATAMANI MH DR. W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA.[/QUOTE]

sasa slaa anahistoria gani mkuu au una mahaba naye?
 
Wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.

JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR. W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA.

Slaa hawezi kumkomboa mtu maana yeye mwenyewe ni mfungwa wa nafsi yake ya kuchota ruzuku na kubeba wake wa wengine.

Zaidi ya hapo uongozi mzima wa CDM una tamaa ya kubaki madarakani na kujilimbikizia mali, kuchezea katiba ili kujiongezea muda wa utawala chamani, na hata udikteta wa ukanda.
Mtu wako hajafikia kujikomboa mwenyewe sembuse tsifa.
 
Wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.

JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR. W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA.
Wewe punguani unataka kumlinganisha hayati Mandela na Slaa kwa lipi? UADILIFU,USAFI WA ROHO NA NAFSI,UZALENDO KWA NCHI NA WATU WAKE,UBADHILIFU,ULAGHAI, au ni mapenzi yako tu?
 
Dk Slaa ndiye rais ajaye Tanzania hilo halina ubishi!
 
Slaa? No way, hana Moral authority ya kupambana na ufisadi. KAMA ANAWASUTA WANAOIBA PESA (UDHAIFU WAO), NAYE NI MWIZI WA WAKE ZA WATU (UDHAIFU WAKE). KIUFUPI NI KWAMBA HAFAI!
 
Hatuko tayari kuwa na padri mzinzi hata pengo analijua

Hakuna binadamu aliyekamilika! Anaweza kuwa na matatizo yake binafsi lakini akawa kiongozi bora na imara.

Kwani huyu tuliye naye sasa hivi hana madhaifu?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom