Wakati nikimkumbuka Mzee Madiba,natamani Dr Slaa aongoze kipindi kimoja tu[2015-2020]

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.

JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR. W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA.
 
Mzee Mandela ni Nyota ya Africa. Ni kati ya Viongozi wa Africa wenye matumaini kwa wananchi na wanaotoa kauli zinazotenda. Natofautisha viongozi wa sasa kazi yao ni Kauli mbiu tu, mikakati, michakato, na ufisadi tu.

Kuna Kiongozi mmoja wa hapa Tanzania alipewa Hotel, South Africa, akamwalika Mzee Madiba, Mzee Madiba akakataa.

Dkt. Slaa ndo kiongozi tumaini la watanzania, Dkt. Slaa ndo Kiongozi mwenye Vision kwa Tanzania. Kura zetu tumpe Dokta Slaa 2015.
 
Hatuko tayari kuwa na padri mzinzi hata pengo analijua

Hili ndo tatizo la kuwa na akiri tegemezi. Akiri tegemezi haiwezi kuwaza nje ya UKALILISHWAJI wake.Wewe hufai hata kuitwa FIRST BORN Nyumbani kwenu.
 
Ungozi wa chama tu ni vita jee ungozi wa nchi? Huyu babu akipewa nafasi hatatoka mpaka mauti yamkute na hata hivyo atarithi mwanaye au josephine
 
Hakika itapendeza duniani na Mbinguni pia.
Dr.Slaa ndiyo image ya Nyerere na Mandela
 
Nakubaliana nawe mkuu na iwe hivyo kwani mbingu imefunguliwa wakati wote na maombi yako yatakuwa yamepokelewa.
 
Ungozi wa chama tu ni vita jee ungozi wa nchi? Huyu babu akipewa nafasi hatatoka mpaka mauti yamkute na hata hivyo atarithi mwanaye au josephine

Mawazo ya watu ninyi yanaongozwa na pepo mbaya na fikra ambazo haziongozwi na misingi ya kikatiba.
 
Mzee Mandela ni Nyota ya Africa. Ni kati ya Viongozi wa Africa wenye matumaini kwa wananchi na wanaotoa kauli zinazotenda. Natofautisha viongozi wa sasa kazi yao ni Kauli mbiu tu, mikakati, michakato, na ufisadi tu.

Kuna Kiongozi mmoja wa hapa Tanzania alipewa Hotel, South Africa, akamwalika Mzee Madiba, Mzee Madiba akakataa.

Dkt. Slaa ndo kiongozi tumaini la watanzania, Dkt. Slaa ndo Kiongozi mwenye Vision kwa Tanzania. Kura zetu tumpe Dokta Slaa 2015.

Yaani nyie ndio mazumbukuku kwelii. Yaani mnajaribu kulinganisha sisimizi (Slaa) na mtu mwenye akili. Onyesha angalau moja tu Slaa analofanana na Mandela
 
Yale yale ya mke wa kilewo,eti kilewo kamzidi nyerere kisa aliwekwa lupango. Hebu acheni kumlinganisha na kumlinganisha mandela na slaa. Madiba hana mfanowe hapa afrika na duniani kote.
 
wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA

Dr Slaa huyu mwenye katoto kenye mwaka mmoja, umpeleke IKULU leo si atataka kukaa maisha huko? Dr slaa huyu aliyethubutu kuiba mke wa mtu akiwa bado raia akiwa rais ataiba hadi mama zenu, Dr huyu huyu aliyejikopesha ruzuku za chama akiwa rais atajiuzia ikulu. TAFAKARI MTANZANIA SEMA NO KWA CHADEMA FAMILY.
 
Yaani nyie ndio mazumbukuku kwelii. Yaani mnajaribu kulinganisha sisimizi (Slaa) na mtu mwenye akili. Onyesha angalau moja tu Slaa analofanana na Mandela

martyr2012

Dokta Slaa alitaja Orodha ya Mafisadi 11 pale Mwembe Yanga. na ni ukweli, ni mafisadi. Mbona hawamkumpeleka Mahakamani?

Katika kipindi chake cha Ubunge alifanya mambo mengi sana jimboni kwake, kama hujui, nenda karatu kaulize..

Bungeni alifichua madudu mengi ya mafisadi... EPA, MEREMETA?

Ama wewe Ndugu martyr2012 unawapenda Mafisadi??? kama unawapenda sema tu usiogope?

Maana Shule hazina madawati, shule hazina waalimu, shule hazina maabara, mishahara midogo ya waalimu, Div O, ndo baadhi ya madhara ya ufisadi. Pesa zote wamekomba mafisadi kupitia EPA, DOwans/Rindmod, Ndege ya Rais, rada?
 
Mazingira ya Africa Kusini na Tanzania ni Tofauti.

Makaburu wa Africa Kusini ni wabinafsi, wanawachukia Watu weusi na Mafisadi Tanzania ni wabinafsi wanaiba pesa wanaficha Uswisi
 
Kweli Mungu yu hai mpaka leo "MANDELA AMEONDOKA, MUNGU AMEMTOA DR.SLAA KUWARITHI HAYATI NYERERE NA MADIBA" Dah! naunga Mkono hoja ya Mtoa mada kwa Asilimia mia moja...
 
wanahistoria tuna amini kuwa Mandela ametengeneza historia yake.Wala haina haja ya kuyasema yote.Kwangu mimi nataka kubwa moja tu ndio liigwe na wapenda mabadiliko wote nchini na kuniunga mkono.JAMBO HILI NI TUMKUMBUKE MZEE MADIBA KWA KUIKOMBOA AFRIKA YA KUSINI NA KISHA KUWA RAIS KWA KIPINDI KIMOJA TU.KWA HILI NDIO MAANA NATAMANI MH DR W P SLAA ABEBE DHAMANA YA KUIKOMBOA NCHI HII KUTOKA KWA MAFISADI NA WAROHO WA MADARAKA NA HATIMAYE BAADA YA KIPINDI KIMOJA CHA UONGOZI WAKE AACHIE WENGINE KATIKA MISINGI IMARA YA DOLA HUKU AKIANDIKA HISTORIA YAKE TANZANIA

Kama wameshindwa kuachia madaraka ya chama kwa muhula mmoja unaweza vipi kuamini suala litawezekana kwenye ngazi ya taifa?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom