Mkuu Asulo na wewe unakaribishwa kwenye hii Program,,, hata ukija na suti poa tu....
,,,hahahahahaha.....Wewe hukukata mwili bali ulikonda, thanks to Kibuti cha Preta ..........
Well Pacha, hebu do the needful mje pamoja na Waifu kwenye hii Program..
Six Pack Abs ndiyo mpango mzima Arifu... Kitambi hata omba omba wanavyo siku hizi
...hapana chezeya kabisa..Chezeiya kibuti wewe lol..