Hebu elekeza vizuri.
Hayo majogging na masarakasi yako maeneo gani maana UDSM kubwa.
au huko The Hill ni bure?
Viwanja vya Yuu Di Esi Emu si unajua vilipo Mamii?
Wewe ukifika pale nibip nitakuja kukuchukua kisha tutaanza Tizi.
Unapendekeza tuanze na Sama Soti au Misamba?
Karibu.
Hivi kwani utaki kuendelea kuishi.
Viwanja vya Yuu Di Esi Emu si unajua vilipo Mamii?
Wewe ukifika pale nibip nitakuja kukuchukua kisha tutaanza Tizi.
Unapendekeza tuanze na Sama Soti au Misamba?
Karibu.
chini skuna, kati kimini halafu juu weka kipedo..
chini skuna, kati kimini halafu juu weka kipedo..
chini skuna, kati kimini halafu juu weka kipedo..
I'm smelling something fishy here....Am leaving...
Teh teh teh teh,
haya bhana. Na vifaa vipo?
Mmmhh...hayo hayawezi kuwa ni mazoezi,labda kama ni mazoezi ya kucheza movi za mambo ya kikubwa.
ruttashobolwa hebu mzuie huyo mrembo wako asishiriki hayo mazoezi.
Bila shaka, karibu...
Kuiga siyo mbaya sana,,
Hasa kuiga kwenye Muviz pamoja na muziki wa kimamtoni yale yaliyo na manufaa,,
Lifestyle za Masista Duu na Mabraza Meni wa kibongo kwa kiasi kikubwa ni muigo kutoka kwa Muviz na Muziki hasa wa Kimarekani,,
Sasa basi, kitendo cha Masista Duu na Mabraza Meni wetu kuiga zile Pozi za kufanya Mazoezi asubuhi na Jioni kimeni-impresi sana..
Keep it up Masista Duu na Mabrazameni wetu, Bongo bila Vitambi inawezekana..
By the way, ikiwezekana tuwe na JF Fitness Programs, Kwa wakazi wa Dar wapenda Jogging karibuni UDSM grounds tunyoroshege viungo kila siku jioni..
Karibuni Kwenye fukwe na Ma-swimming Pool zilizojaa tele hapa jijini tu-swim kiburudani na kimazoezi pia..
Mapendo.
TANMO