OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,053
- 114,519
Katika jitihada za kuelimisha wadanganyika waelewe kuwa CCM ni ile ile na wao ndio wanaisoma namba,tujaribu kurudisha kumbukumbu nyuma.Punde tu PM Majaliwa alipoanza kazi Bandari ikalipuka,kwamba makontena kadhaa yamepitishwa bila kulipa kodi.Haya yote yanajulikana na mimi sio haja yangu ya msingi.Hoja ya msingi ni kuwa makontena haya yamekwepa kodi katika kipindi cha Jakaya chini ya "Mpambanaji" Mwigulu Nchemba ambae leo hii ni moja kati ya mawaziri "majembe na vipanga"....Hivyo basi wakati makontena yanakwepa kodi Mwigulu alikuwa N/Waziri wa Fedha.Hali hiyo imeenda mbali zaidi,wakati mambo yanaenda hovyo hovyo TPA na Reli Mh.Mwakyembe alikuwa Waziri....Kuna Jipya hapa?au tunasubiri ngamia apenye kwenye tundu la sindano?