Wakati hatari zaidi kwenye ndoa

Wakati hatari zaidi kwenye ndoa

howardlite

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
248
Reaction score
413
Ndoa yoyote inapitia hatua tano muhimu.

Hatua ya pili ni wakati hatari sana kwa wanandoa bila ya msaada wa Mungu na ndio nitaiadress kwa leo:
Wanandoa:-
-Wanapoa: Taratibu na kawaida za kila siku na kushuka kwa msisimko vinaingia katika maisha ya wanandoa.Hali ya kujali inapotea kwa kiasi.
-Wanabishana: Hawajitoi tena wala hawaachilii haki zao tena.
-Wanajitetea: Hawataki kulaumiwa na wenzi wao kwa makosa yao,wanajitetea na kuanza kuwalaumu wenzao.
-Wanalaumiana: Sasa hakuna kinachokua sawa hata kidogo.
-Wanavunjika moyo: Ndoto za wanandoa hao hazitimii, wengine wanakosea kwa kujaribu kutafuta upendo kwa mtu mwingine.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mmmhh mkuu kwan wewe umeoa/ olewa..... Maana naona harufu ya u single maelezo hayajitoshelezi kabisaa..... Au tafuta maelezo mazuri zaidi
 
Du upo sahii mkuu. Ninapitia hali hiyo na nipo kwenye hatua hiyo ya mwisho. Hali tete kabisa.
 
Hivi ndoa hazinaga jema daily mabaya tu kwa mtindo huh ngoja niendelee na mechi zangu tu
 
Back
Top Bottom