Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,369
- 8,072
umoja wa ulaya wanakutana huko malta kujadili suruhu ya wimbi la wahamiaji kuingia kwenye nchi zao, na ikumbukwe kwa muda
mrefu tu wamekuwa wakisemezana kuhusu suala hilo lakin bado hawajapata suruhu, lakini Bwana TRUMP ndani ya wiki moja tu akiwa madarakani tena bila kujadiliana na nchi yoyote ameshachukua hatua thabiti za kuzuia wahamiaji nchini mwake, ajabu sasa haohao EU akina merkel ambao wamefail katika hilo suala wameanza kutokwa povu kumpinga Trump na mbinu zake kuzuia wahamiaji na walipuzi kuingia US huku wao na njia zao wamefeli kuzuia suala hilo. basi tuone kati ya hatua za trump na zao EU zipi zitazuia wahamiaji katika nchi zao.
pia TRUMP baada ya kuongea na waziri mkuu wa australia kwa simu kakataa wahamiaji ambao wako australia kupelekwa US na kuwaita 'walipuzi'