barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,870
Taarifa ambazo zimelifika Gazeti la FikraPevu kutoka vyanzo makini zinasema kwamba Mh. Freeman Mbowe, hatafika Polisi kama wito uliotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Makonda ulivyomtaka. Sababu za kutoitika wito hazikupatikana kwa haraka.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa jimbo la Hai, Mhe. Freeman Mbowe akiongea na Wabunge kutoka Bunge la Ulaya, David Martin, Gerrard Quille, Balozi wa Umoja wa Ulaya Tanzania, Roeland Van De Beer na Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje, Afrika Mashariki na Kikanda, Mbunge wa Iringa mjini, Peter Msigwa, mjini Dodoma leo Ijumaa 10/02/2017.