Naomba kujuzwa wakali wa hip hop wa zamani kama xplastaz, weusi ten ngangali na wakali wa sasa kama Niki mbishi n.k wako wapi hatusikii wakitoa nyimbo Kali za kuchana au ndo kusema hip hop imekufa
Mimi kwa hip hop hapa bongoland nimewahi kumkubali jamaa mmoja hivi wa kuitwa roho 7 nenda kausikilize leo wimbo wake wa kitambo sana unaitwa nakupenda hip hop utajua namaanisha nini
Mimi kwa hip hop hapa bongoland nimewahi kumkubali jamaa mmoja hivi wa kuitwa roho 7 nenda kausikilize leo wimbo wake wa kitambo sana unaitwa nakupenda hip hop utajua namaanisha nini
Hip Hop bado ipo tukutane msasani club kilingeni alafu wadau watu wa media hawaithamimi Hip Hop ukitaka zama mtandaoni download ukisubii radio utakesha