Wakali kwanza

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Wakuu samahani kidogo na poleni na majukumu,

Hivi hii ngoma ya Wakali kwanza, inaitwa NATAMANI, ndani kuna Makamua, Qj na Joselin.

Ni nyimbo ambayo ilitoka mwaka gani? Na kuna tuzo ilichukua ilikuwa mwaka gani? Anaekumbuka msaada kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…