oi..nipe no yako ya wasap..Habari zenu wa JF.
Jana nilianzisha uzi wa kuomba msaada hakika mpaka sasa sijapata msaada. Tofauti na kusema nimeandaa mpunga kwa atakaeweza nisaidia lakini wapi!
Maelezo yako hivi nina Samsung S8 plus.
Iko blocked kwenye upande wa Laini. Na imeblockiwa na Au ya Japanese.
Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card blocked.
Ajabu ni kuwa haniombi hata Code za kuunlock angalau ingekuwa inaniomba code ningezisaka na nikajaza lakini aiombi.
Simu ni Samsung S8 plus
Model Number SCV35
Msaada wenu tafadhali...
Hawa siwaamini kabisa yani.pita hapa unlock mwenyewe ila andaa dolaPhone Unlock Codes | Network SIM IMEI Unlocking | TUC
Unlock your phone quickly and securely in any country with our Phone Unlock Codes. Gain the freedom you deserve. Explore our solutions now!theunlockingcompany.com
Hapana mkuu, hata mimi nina Iphone toka Japan nikiweka laini ya hapa nchini inagoma kusoma lakini ikiwekwa laini ya huko Japan network inasoma kama kawaida.Simu za wizi hizo.....
Kwa nini?Hawa siwaamini kabisa yani.
Umefuata maelekezo imeshindikana?Nimeitazama ila bado sijatatua tatizo.