| Player | Nationality |
|---|---|
| Erling Haaland | Norway |
| Matthijs de Ligt | Netherlands |
| Gianluigi Donnarumma | Italy |
| Paul Pogba | France |
| Marco Verratti | Italy |
| Stefan de Vrij | Netherlands |
| Ryan Gravenberch | Netherlands |
| Hirving Lozano | Mexico |
| Moise Kean | Italy |
| Justin Kluivert | Netherlands |
| Henrikh Mkhitaryan | Armenia |
| Zlatan Ibrahimovic | Sweden |
| Mario Balotelli | Italy |
| Alessio Romagnoli | Italy |
| Donyell Malen | Netherlands |
Angekunywa bia na kula mademu sanaaa kabla ya kufa eeeeh?Alikua ni agent mkubwa na mwenye pesa ndefu! Daaah mkwanja mrefu ameuacha... Hakika kifo ni ndoto pekee ambayo kila mmoja wetu ataitimiza tu... R.I.P
Mm ningemiliki robo tu ya mali zake ma-slay queen wote wangenikoma [emoji16][emoji16][emoji16]Angekunywa bia na kula mademu sanaaa kabla ya kufa eeeeh?
Huwezi kuwa na mawazo ya hivyo ukapata pesa.Mm ningemiliki robo tu ya mali zake ma-slay queen wote wangenikoma [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba ulikutana na Mino Raiola Dubai et?Mbele yako, nyuma yetu nakumbuka tulipokutana Dubai 😭😭. Kimwili haupo nasi ila tutakukumbuka daima milele! Suoer agent huna roho ya choyo.😭
Dunia ya Football imepata uhuru wa usajili!huyu jamaa ametangaziwa kifo mara ya nne sasa ....leo kaenda kweli
Wabongo mna mambo,Mbele yako, nyuma yetu nakumbuka tulipokutana Dubai 😭😭. Kimwili haupo nasi ila tutakukumbuka daima milele! Suoer agent huna roho ya choyo.😭