Wakala wa safari za anga

Wakala wa safari za anga

chiu1992

Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
28
Reaction score
5
Habari za kazi wapendwa

L and I flights limited ni kampuni / wakala wa usafirishaji kwa njia ya anga tunatoa huduma zifuatazo

Ukataji wa tiketi safari za ndani ya Tanzania kwa ndege zote bara na visiwani

Ukataji wa tiketi nje ya nchi (kimataifa)

Visa kwa nchi mbili ya Thailand na Oman

Pia tunatoa bei nzuri kwa vikundi au taasisi au wafanyakazi wanaoitaji kusafiri kama kikundi kwa bei nzuri, bei zetu ni nafuu kwa mtanzania wa kila tabaka ,pia tunakufikishia tiketi yako sehemu yeyote ulipo kwa njia mbalimbali za mawasiliano au kupitia wafanyakazi wetu.
Karibu kwa maswali au dukuduku pi unaweza ulizia bei kabla ya kufanya booking yako muda wowote.

L & I FLIGHTS Company limited


Fly the world cheaply.
call us via +255 719879191, +255 623985358

email: info@landiflights.co.tz
 
Back
Top Bottom