PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,328
Sio kwamba hivyo vitu wanapewa bossUnatakiwa uende kwenye ofisi zao ukiwa na
1.Kitambulisho cha NIDA
2.Simu janja
3.Mfukoni uwe n kitu kama 50,000 kwa ajili ya kununua mashine ya kusajilia
Vingine wataongezea wanajukwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Smart phone.
Uko mkoa gani kamanda?Habari wakuu. Kwa anayefahamu ni jinsi/njia gani zinahitajika ili kupata uwakala wa kusajili laini za simu ili kujipatia kamisheni.
Nina mpango wa kuongeza kabiashara na naona hii biashara inawiana na ninachokifanya kwa Sasa.
Na ningefurahi zaidi kama kuna mwenye uzoefu angenipatia elimu kidogo juu ya hii biashara. Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba hivyo vitu wanapewa boss
Habari wakuu.
Kwa anayefahamu ni jinsi/njia gani zinahitajika ili kupata uwakala wa kusajili laini za simu ili kujipatia kamisheni.
Nina mpango wa kuongeza kabiashara na naona hii biashara inawiana na ninachokifanya kwa Sasa.
Na ningefurahi zaidi kama kuna mwenye uzoefu angenipatia elimu kidogo juu ya hii biashara. Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, kuna kamisheni inayolipwa na mtandao husika kama ilivyo kwa mobile money transactionSimu yenye uwezo angalau iwe na android 7+ na iwe inasapot kifaa. Pesa taslimu sh 10,000 kwaajili ya line 100 za kuanzia. Kitambulisho cha taifa na NIN za eneo husika(hizi atakupa team leader au wenzako).
Kitambulisho cha taifa kitatumika kufungua account yako ya usajili na sim utaitumia kufanyia kazi. Sim zitolewazo na kampuni au famoco hutolewa kwa wafanyakazi wazoefu ambao wanaweza kufikia target ya siku.
Kwa we we mgeni ukipewa famoko au kifaa cha kusajilia watakutesa sana maana watahitaji kila siku usajili laini saba+ hivyo ni vema andaa 50/70 upate kifaa chako.
Kama utakuwa na maswali mengine nakukaribisha
Kuna mtandao mmoja najua wanalipa 500 kama mteja akiweka salio kama hajaweka hupati kamishenJe, kuna kamisheni inayolipwa na mtandao husika kama ilivyo kwa mobile money transaction
Vipi kuhusu kamisheni mkuu?Simu yenye uwezo angalau iwe na android 7+ na iwe inasapot kifaa. Pesa taslimu sh 10,000 kwaajili ya line 100 za kuanzia. Kitambulisho cha taifa na NIN za eneo husika(hizi atakupa team leader au wenzako).