Wakaka wa JF...

jamani nitafutieni hizo avatar,nami wani PM..........lol
 
mie wala sikup PM nataka vituz kabisa
asiiiiiiiiiiiiiii
 
Tatizo haliko kwetu,tunapenda sana kuwatumia PM na hata kuwasemesha,ila tunachohofia ni ukali wenu,mkituahidi kupunguza ukali basi mambo yatakuwa mswano na nitaanza na wewe.

Mkuu hiyo kitu ni normal sana usiwe unaogopa hiyo ,maama wengine ni wastaarabu sana
 
Ya nini malumbano
Ya nini maneno
Najiweka pembeni
Naepuka msongamano
Bora nitulie
Ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie

Hahahahah,kweli super bora uepushe msongamano
 
Mimi AVATAR ya Rose1980, ndio ina nikwaza, Ahsante Pauline, Naona 2011 watu wapendane zaidi. Rose naomba niku PM, ama vipi??????
 
Hahahaaa mwe pauline umepatwa na nini mpenz? Unapenda kusemeshwa na jinsia me hawa wakishikwa na hamu hata mwendawazimu barabarani wanamuona ni miss tz akishamaliza haja yake ndio anagundua ala kumbe nimelala na mwendawazimu? So be careful my sis ingawa na mimi naanza kuhis waweza kuwa ni he wewe mwe
 

Hao wanaume unaowazungumzia na babu ndani yake.
 
Hao wanaume unaowazungumzia na babu ndani yake.

mh! Babu mbona swali gumu? Kwa uelewa wangu mdogo most of them wanaongozwa na hamu na tamaa hasa hamu ikiwashika wanaweza fanya lolote na kujilaumu baadae
 
Pauline hapo shuzi limepata mjambaji tks noted ukipata pm uwe shapu kujibu pia
 
Pole mkuu kama yalikutokea hayo
Mimi yalinikuta ya kutolewa balu na Mbwa wa kwao. kwani ilibidi mi nifuate mtoto kwao.
Mh....!! Kujiamini? Kujiamini kulikwisha siku nimefunga safari kwenda kutongoza kufika huko nikatolewa mbio na mawe.
 
Asante kwa kunyonyoa kuku manyoya....kwani lazima utamla......!!
 
Staili mupya ya kutanga NIA au...?
 
LETS TURN THE TABLE...CAN U PM ME SWEET LADY....😛ray2:
 
wadada wengine wame-block pm zao, hlf wengine ukiwatumia text humu jf or fb, insta etc hawajibu kabisa...mm nahic mnataka atttention ya wanaume ili mkuze ego zenu mxeeew pauline
 
Hii kitu ya zamani toka jk akiwa madarakani bora izo siku zirudi tu maana huyu sizonje anafungulia bomba vibaya
Ila sijachelewa ntakufata uko uko pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…