Sitasita kamwe kama Kuwa PM,kuwapongeza, kuwasifia ila naweza pongeza mtu kumbe mwanaume maana humu usipokuwa makini unaweza MP mwanaume mwenzio ukimwambia mdada umependeza.
Preta avatar yake huwaga inanisisimua. Kila nikiona jina lake moyo unaruka na kuanza kudunda. Huyo nimewania sana kumtongoza!
Nilifikiri ndio kwanza nasogea karibu!!!!Kaka umeenda mbali.......
Preta avatar yake huwaga inanisisimua. Kila nikiona jina lake moyo unaruka na kuanza kudunda. Huyo nimewania sana kumtongoza!
Preta avatar yake huwaga inanisisimua. Kila nikiona jina lake moyo unaruka na kuanza kudunda. Huyo nimewania sana kumtongoza!
Niko njiani nakuja!hakyanani...sema kweli...basi naomba nikukaribishe nyumbani kabisa
heheee,mi nitafuata au?
hakyanani...sema kweli...basi naomba nikukaribishe nyumbani kabisa
Tatizo letu sisi wanaume na hasa waafrika, nikianza kukusemesha na ukakubali kuingia kwenye mazungumzo ya muda mrefu, mwisho wake ntaanza kuvutiwa na wewe. Matokeo yake mwisho wa siku ntakuomba "tukabadilishane uzoefu".
Hata kama ukikataa mara ya kwanza ntaweka king'ang'anizi mpaka ukubali. ukiweka msimamo nadraw out interest nabwaga manyanga! Lakini mara nyingi huwa mazungumzo yana isha vizuri kwa kila mtu kupata uzoefu wa mwenzake! Je, uko tayari kwa hilo?
hakyanani...sema kweli...basi naomba nikukaribishe nyumbani kabisa
Nami nikiomba kukaribishwa nyumbani je?
.. kny PM,in the end baada ya mazungumzo ya muda mrefu as you put it,mtu atajua kakupenda akukubalie au hajakupenda akukatalie,,,akikubalia na mkaenda kuonyeshana mauzoefu ni sawa,ni watu wawili wenye akili zenu mnajua mnachokifanya...ila pia akikukatalia ukadraw out interest ni sawa vile vile...life is like that...goes on,....hata huko mabarabarani tukitongozwa km hatujampenda mtu hatuexpect aendelee kututongoza....tunamove on expecting somebody else atatunotice na kututongoza...
rungu akiondoka......nitakupigia

hapo kwenye maandishi meusi eti mauzoefu je kwasisi tusiokuwa wazoefu?
Pauline,Nonda mbona unataka kunisuta tena my dear?
hata ukiwa na mume,bado ukisemeshwa njiani utajisikia furaha...
inakupa impression,bado uko attractive,young and beutiful!...mumeo anaweza akakufanya ufeel hivi ila na mtu mwngine pia akikusemesha inakufanya ufeel extra special kwamba sio mumeo pekee anayekuona hivyo!!!...bichwa linapanda....na kuna raha yake atii:target:😛ainkiller: