Subiri zinakapoanza kumiminika mpaka inbox yako itakosa nafasi.Tutumieni PM...jamani....
yaani hamna kitu mwanamke anafurahi kama kusemeshwa na mwanaume njiani!...ndio maana tunavaa vizuri,vimini nk hii yote ni kuhakikisha tunakuwa 'NOTICED' na wakaka!!
Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...
For the same reasons hapa JF tunatafuta avatar nzuuuri...kupata attention yenu!angalia avatar nyingi za wanawake ni zile za kuvutia!!
.....kumwambia mtu tu kny forum, avatar yake ni nzuri ,inatosha kumfanya ajihisi furaha ya kuwa amekuwa noticed ila ingependeza kama ungemtumia PM!!!!...this shows umekuwa really impressed,,,na hivyo kumfanya huyo dada ajihisi spesho zaidi...lols!
Kwa hio wakaka tutumieni PM please...najua mtaniuliza kwa nini tusianze sie kutuma lakini huu si utamaduni wa mwafrica!...ni shurti mwanaume akuanze atiii...kwanza tuna haya za kike....!LOLS
wadada ole wenu mniruke hapa kuwa hamtaki PM...hahaahahahaah
*note-sio lazima kila PM ilead mahusiano!!!
:rofl::rofl::target:
he!hii kali!wadada wanapenda kusemeshwa njiani!avatar nzuri ili kudraw attention!wanapenda pm!basi wacha nijiite wiseman maana hizo sifa kwangu haziapply.
Pauline,
hee mtoto wa kike!!
vipi leo!!???
Leo naona una mafikra ya kila aina...
Good luck..
Kwani jamaa yako vipi?? Ni Bubu? haongei? hakusifu?
au unakaribisha infidelity....utakutana na watu wana maneno asali... kama pelemende..
Tatizo haliko kwetu,tunapenda sana kuwatumia PM na hata kuwasemesha,ila tunachohofia ni ukali wenu,mkituahidi kupunguza ukali basi mambo yatakuwa mswano na nitaanza na wewe.
mwanaume kujiamini paka!!!:teeth::A S-alert1::A S-alert1::A S-alert1:
kweli tuko tofauti,you are one of your own kind!...nachojua as a woman...wadada wanapenda sana kusemeshwa,and yes tunafanya jitihada sometimes kupata attention...haimaniishi bila kusemeshwa/compliments zao hatuwezi kuishi ila zinatufanya tufeel special,complete!
Nonda mbona unataka kunisuta tena my dear?
hata ukiwa na mume,bado ukisemeshwa njiani utajisikia furaha...
inakupa impression,bado uko attractive,young and beutiful!...mumeo anaweza akakufanya ufeel hivi ila na mtu mwngine pia akikusemesha inakufanya ufeel extra special kwamba sio mumeo pekee anayekuona hivyo!!!...bichwa linapanda....na kuna raha yake atii:target:ainkiller:
Ila wewe unayoyasema ni ya kweli anayekusuta shauri yake ila endelea kutupa ukweli wenu bwana.
Thanks Zipuwawa,usisite kumuambia mdada amependeza....na hapa JF ukimuona mdada kabadilisha avatar usisite kumuonyesha kwamba 'umemuona'...lols:hug::hug:
tatizo haliko kwetu,tunapenda sana kuwatumia pm na hata kuwasemesha,ila tunachohofia ni ukali wenu,mkituahidi kupunguza ukali basi mambo yatakuwa mswano na nitaanza na wewe.