Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,384
wanafunzi wamekusikia na hivi wapo likizo wanaloooo
fupi tamu ndefu inakerA
Eeh!! 😕😕😕
Sijui tu nilikuwaje yani sikutaka kabisa mapenzi ya kishule shule na hilo limenipita kwakweli
oh..chuoni pana uzoefu mzuri sana kwenye haya mambo shem..
ni kujicontrol tu!!
Sijui tu kwanini sikupenda kufanya hivyo
inamaana hawakukutongoza?
Kibao ila vile watu walivyokuwa wanabwagwa mie nikashindwa halafu tayari nilikuwa committed kwa mtu mwingine
sasa kumbe ulikuwa una mpenzi?
ulivyosema haya yalikupita kushoto sikukuelewa...
Ni malengo tu ukishajiwekea mtu na ukaapa kuyatekeleza
Hao mbona hata wasingeweza kushusha verse?Hao wote midomo zege.......
Hapana mipango yote ya kimahusiano huwa inaishia form 6..
kwa asilimia kubwa!!
hapo chuoni kwako ungekutana na mwanaume mwenye akili usingeweza kuchomoa..
hakuna sehemu rahisi na nyepesi kudate kama chuo..
(mawazo yangu lakini).
Chuo nilichosoma maplayer wakutosha yani hata kudate na mtu unaona kinyaaa.....
si umeona sasa ilivyo?
kumbe na wewe ulikuwa unataka lakini uplayer wa ma men ukakushinda..
hapo kukupata wewe ilikuwa through gospel ama
ile ya mohamadi...
fupi tamu ndefu inakerA