Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,732
Neno msaada kwenye mapenzi halipo! nini maana ya mwili mmoja?! hutaki kuwajibika, kaa mwenyewe mpenzi wa nini? si huwa unapata raha? unasuzika moyo wakati mshedede unapopenya? unapomkoga na kumlingishia mtalaka wako si unaonaga raha?lakini mtu anapomchukulia mwenzake aliyemsaidia kama kitega uchumi, kwa kweli, kwanza inasikitisha lakini pili itakufanya upoteze trust kwa mtu. Hii ni kwa ke na me.
Achaa tu mkuu...!! Wanakwazaa sanaaAiseee sure kabisaa mwanangu Rikiboy mzee wa uzi pendwa japo ya huyu dada iko tofauti lakin akina dada wengi akikusaidia kitu ataongea kana kwamba hastahili kukusaidia ila ww ndo wa kumsaidia kila siku kuna bint mmoja niliwahi fahamiana nae kwenye daladala basi mara nyingi tukawa tunarud wote mitaa ya home tukitokea makazin jion japo tunafanya kaz sehem tofaut bas tukawa tunakutana kituo flan tunapanda gar kurud home wote mara zote hizo mm nkawa nalipa nauli tu na sikuzingine daladala zikizingua nachukua bajaji nalipa sasa kuna siku moja niko busy na simu konda anataka chake nkamwambia dada lipa nauli ya watu wawili duuuhh akalipa ila aliongea safar nzima et oooohhh siamin yaan leo nimemlipia nauli mwanaumeeeee!!! Keshasahau mm nimemlipia mara kibao tena sikuzingine daladala hakuna nachukua bajaji nalipa nauli kubwa zaid hawa viumbe banaaaa