Wakaka komeni!msiingie uhuru wetu wa kuvaa tutakavyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakaka komeni!msiingie uhuru wetu wa kuvaa tutakavyo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Marytina, May 26, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
  Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.

  Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?

  Nani aliyetoa vipimo vya nguo fupi?serikali au ukame+ukata wa wavaa vitisheti vya ccm?inaanzia wapi?isoneshe kinii?
  Nguo fupi relative kwa nguo ipi?

  [​IMG]  [​IMG]
  IRINGA STENDI YA MKOA​

  au mnataka tuvae hivi ili muridhikeeeeeeeeeeeee​
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wewe unaonaje??? Unaona ni sawa hapo??
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huyo changudoa tu - Hamna cha Uhuru wala nini..

  Unavaa Gagulo unatoka mchana kweupe? w.t.f?
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Jaman mtu sio mama wala dada yako ya nini uhangaike nae?
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hiyo nguo sio ya kuvaa na kutembea nayo barabarani unategemea nini, mjifunze kila nguo ina sehemu yake ya kuvaa
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wala huyu dada ni mfanyakazi wa shirika flani la kutoa mikopo limeenea tanzania nzima
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jiulize kwanini akivaa nguo kama hiyo akienda club wala watu hawatahangahika kumtafutia khanga ili wamsitiri
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Akome kupita anawadobosha watu wengine wana ukame wa miaka 3 ndo maana mnaona vichaa wanazaa walio wapa mimba hawajulikani. Huyu angepita k.koo au karume wahuni wangejiexpress
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwani hapo unaona maumbile ya ndani?mbona wazungu wanavaa vikaptula chupi flani unawakuta mtaani wakijiacha sembuse hii
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo hiyo ndio style ya kuvutia wateja ili wakope zaidi
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani sisi ni wazungu???
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,990
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Zinafaa kuvaliwa mitaani kweli?
   
 13. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,078
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  Watu wote wote wanamzomea kwa jinsi alivyovaa afu ww unaona sawa. Km vp hebu na ww vaa kinguo km hicho uone km utaweza hata kutoka nje.
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ukame ni matatizo yako na domo lako.
  kwa hiyo ukimbaka utajitetea mahakamani kuwa una maukame ya miaka mitatu?

  Ebu tupeni uhuru tuvae tutakavyo.Mbona nyie hatuwabughudhi mnapo vaa kiajabu?
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hapana ila wewe apo umeona kinini cha kuwafanya wanaume wale wamletee zengwe?yupo uchi?au kila saa tuvae kama tunaenda kanisani?
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  tatizo lipo hapo Mertyina: what to wear and where to wear!

  Kijijini kwetu siwezi kuvaa leggings na top dress, watanishangaa na kunilaani lakini daslamu wala hakuna anayekushangaa.

  Yeye akawavalie wanyalu lesi lesi hizo alifikiri nini?.

  Wakati mwingine tunajidhalilisha wenyewe tu.
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tena ana bahati yuko Iringa angekuwa Kariakoo si ajabu wangembaka mchana kweupe
   
 18. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kina dada hamna mpango kabisa.Mavazi yana mahali pake,vazi la kulalia mwavaa barabarani.Utakuta dada kavaa sketi fupi,anapanda daladala,kasheshe akikaa katika kiti,mapaja nje!Utakuta mwenyewe anahangaika kuyafunika,ulivalia nini?
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kabisaa zinafaa.Niwapo nje ya ARUSHA huwa na vaa nitakavyo siogopi macho
   
 20. M

  Marytina JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mbona navaaga niwapo nje ya ARUSHA sana tu
   
Loading...