Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Mkuu tunaomba ufafanuzi kidogo hapa, Hiyo laki 8 anasuka msingi mpaka kufikia hatua gani? Labda ni kwenye lenta, nk..tunaomba ufafanuziHiyo pesa ni nyingi sana, tafuta fundi wa laki 8, alafu tafuta dogo yoyote wa civil eng mpe laki 2, mwambie akusaidie tu kumshauri fundi wakati wa ujenzi wa msingi
Mimi ni mtaalamu sana kwenye hizo kazi, wapo mafundi watakuambia Hadi mil 3 kujenga tu msingi, achana nao.
Usilipe zaidi ya mil 1, ukilipa zaidi ya mil 1 umepigwa.
Tunachoangalia sio fundi anayejenga, bali wewe unayemsimamia. Unaweza kupata fundi mzuri Ila Kama hana msimamizi mzuri anaharibu na unaweza kupata fundi wa kawaida Ila ukamsimamia vizuri basi kazi inatoka bora Sana.
Ukienda kwenye mradi wowote wanaojenga ni mafundi mchundo tu wa kawaida, ila issue ni wasimamizi.
Mkuu ujenzi siyo kilimo cha mapapai. Nenda taratibuKasema gharama ya msingi tu, wewe hnaweka sijui mpaka lintel? Kusoma hujui? Kwa nini usisome tena na Tena alafu ndio u-comment?
Nimekuelewa sana sana mkuu, ubarikiwe sanaHiyo pesa ni nyingi sana, tafuta fundi wa laki 8, alafu tafuta dogo yoyote wa civil eng mpe laki 2, mwambie akusaidie tu kumshauri fundi wakati wa ujenzi wa msingi
Mimi ni mtaalamu sana kwenye hizo kazi, wapo mafundi watakuambia Hadi mil 3 kujenga tu msingi, achana nao.
Usilipe zaidi ya mil 1, ukilipa zaidi ya mil 1 umepigwa.
Tunachoangalia sio fundi anayejenga, bali wewe unayemsimamia. Unaweza kupata fundi mzuri Ila Kama hana msimamizi mzuri anaharibu na unaweza kupata fundi wa kawaida Ila ukamsimamia vizuri basi kazi inatoka bora Sana.
Ukienda kwenye mradi wowote wanaojenga ni mafundi mchundo tu wa kawaida, ila issue ni wasimamizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye msingi Kuna lenta(lintel)?? Alfu hiyo prince beam ndio nini wewe??
Hivi kwa nini watu mnajifanya wataalamu kwenye kila kitu hata Kama hamjui??
Kweli kabisaUkipita mtaani utaona nyumba inang'a baada yamwaka nyufa kibao ukweli ndohuo nyumba nyingi nimbovu lakini kwakuwa wenye nyumba wengi niwasomi nawanajua watayaona mbele
Kwa msingi ni ngumu kupata gharama za fundi kwa kutumia asilimia kwasababu zifuatazo;Hivi labour charge inapatikana vp!? Si unaangalia kwanza gharama za material alafu mnapigia asilimia tatu ya gharama za material!?
Siku hizi madalali wa viwanja wanasimamia ujenzi baada ya maisha kuwa magumu wanajiita mainjiniaEngineer kwahiyo unaweza kupatana kazi na mtu nje yasait?
Usiwe kama robot mzee mawe nimetaja tu na sijamlazimisha atumie cha muhimu ni material ya msingi lazima yawepo katika ujenziHahaha
Hajui kuwa sio lazima ujengee mawe pia.
Watu wanakariri tu hawajui hizi ni fani za watu
Unacheza kamari hapa eeUsiwe kama robot mzee mawe nimetaja tu na sijamlazimisha atumie cha muhimu ni material ya msingi lazma yawep katika ujenz
Hamna nakupakuaUnacheza kamari hapa ee
Hata Kama ni la Saba, jitahidi Kuandika vizuri. Mbona Mimi nilipomaliza la Saba nilikuwa naandika vizuri tu?Uko sahihi umeenda mbali mm ni lasaba mkuu .swala laelim linaingiaje mkuu lakini ninahakika kuna watu humu wanaelimu pengine zaidi yako wanasoma kwashida mwisho wanaelewa kusudio langu
Lenta ya wapi Tena wewe? Kusoma hujui? Nazungumzia msingi tuMkuu tunaomba ufafanuzi kidogo hapa, Hiyo laki 8 anasuka msingi mpaka kufikia hatua gani? Labda ni kwenye lenta, nk..tunaomba ufafanuzi
Ungesomea usingesema kwenye msingi Kuna lenta, hivi unaelewa maana ya lenta/lintel??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana, juu ya msingi huwa tunamimina lenta/ beam tena tunasuka nondo 4, kreki utaisikia kwa jirani.
Kwa ujenzi ni nyumbani kwangu nimesomea nasio kanjanja kama wewe.
Nina vyeti na uzoefu sio wa nchi hii.
Ukitaka kuhakikisha njoo unitembelee kwenye miradi yangu.
Iwe Dar, Arusha, Tanga na Kilimanjaro.
Ninaongea nikijuacho sipigi ramli ewe kenge mwenzangu[emoji28]
Hivi lenta ni nini?Ungesomea usingesema kwenye msingi Kuna lenta, hivi unaelewa maana ya lenta/lintel??
HAKUNA kitu nachochukia Kama Mtu kujifanya anajua kwenye Jambo ambalo halijui.
Kasome Tena lenta/lintel ni nini alafu njoo hapa
Ili usipate tabu sehemu nilipoandika mimi usisome, humu tunapita ili tujifunze tusivyovijua halafu unataka kusema watu wote wanaopita humu huwajui makosa yangu ya uandishi,jifunze kupuuza mkuu.Hata Kama ni la Saba, jitahidi Kuandika vizuri. Mbona Mimi nilipomaliza la Saba nilikuwa naandika vizuri tu?
Sawa mkuuHuyo jamaa phaller sana achana naye
Hii kila mtu kijifanya mjuaji mwalimu wao jiweKwenye msingi Kuna lenta(lintel)?? Alfu hiyo prince beam ndio nini wewe??
Hivi kwa nini watu mnajifanya wataalamu kwenye kila kitu hata Kama hamjui??
uwiano wa 1:6 ni sawa na mfuko mmoja wa cementi kwa ndoo ndogo ngapi za mchanga? pia kwa uwiano wa 1:8 na 1:4 naomba msaada kwa hapoKama ni nyumba ya vyumba vitatu jiko na vyoo ndani andaa tofali 2,500 mawe trip 9 hizi Lori za size 4.5 mchanga, halafu tafuta million 1.2 unapata fundi anakujengea kuanzia msingi hadi kunyanyua boma lote, material na gharama za ufundi zitaangukia kwenye Kama 6M inabaki kupaua tu na kuendeleza jengo unajikusanya tena, achana na huyo fundi wa 1.8M kwenye msingi tu atakutapisha damu.