Wajuzi wa Magari ushauri wenu ni muhimu, nataka kuchukua Toyota Fielder

Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,953
6,071
Wakuu kwema?
Nimejichangachanga nimepata 5.5m kuna mhindi nilisoma nae chuo anataka kuniuzia Toyota fielder ambayo ni plate number A, plan yangu nilitaka hasa Ist, Sienta au Rav lakini bajeti yangu haitoshi na kila mara nikijaribu kufanya saving matatizo ya kifamilia hujitokeza najikuta napaswa kuyatatua

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya suala hili,maana sina sina ujuzi wa Magari zaidi ya friendly use tuu, nini maoni yenu kuhusu hili gari wakuu, je spare zinapatikana? Gharama zake zikoje?
Gari imeshatembea 150,000km mpaka sasa, litre moja ya mafuta ni 13km ....
 
Muonekano
IMG-20210515-WA0018.jpg
 
Fielder ya mwaka gani au Fielder toleo la ngapi?

Nimeendesha Fielder ya 2012 iko very confortable. Cc1490 mafuta ilikuwa inaenda 18+Km per litre.
 
Matumizi makuu ni yepi? Location wapi? Una plan ya kukaa nalo miaka mingapi? Na mwisho Huyo muhindi anaonekana ana njaa njaa au mtoto wa kishua?
Matumizi hasa ni construction site mitaani hasa Dar es salaam, location gari ipo Upanga,Muhindi yupo vizuri hana njaa
 
Wakuu kwema?
Nimejichangachanga nimepata 5.5m kuna mhindi nilisoma nae chuo anataka kuniuzia Toyota fielder ambayo ni plate number A, plan yangu nilitaka hasa Ist, Sienta au Rav lakini bajeti yangu haitoshi na kila mara nikijaribu kufanya saving matatizo ya kifamilia hujitokeza najikuta napaswa kuyatatua

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya suala hili,maana sina sina ujuzi wa Magari zaidi ya friendly use tuu, nini maoni yenu kuhusu hili gari wakuu, je spare zinapatikana? Gharama zake zikoje?
Gari imeshatembea 150,000km mpaka sasa, litre moja ya mafuta ni 13km ....
nijuavyo kwa watoto wa mjini,5.5m unapata ist kali sana,nzima kabisa tena,huenda namba D...
 
chukua Mkuu acha kutoa Location Dar imejaa madalali wataipandia bei ya juu wakati anaweza kukushushia
Madalali wapo Mwanza yaani pesa hawaigusi ya mauziano
Kwa Dar Gari inayotembea yenye cc 1490 kwa 5.5m ni bure
 
Nipe ramani Mzee baba
Achana na IST hizo zipo kwa milioni 8 kuendelea tena akikwambia namba D uende na 10 M
hatuandikii mate Dar nzima hakuna IST ya 5.5M mwambie aiweke hapa ubaoni hata aweke wa 6M tu tutaamini sasa Dar Madalali wamekuwa wema
wenzako wanaichukua hiyo Gari yako wanaiweka sokoni kwa 6.5M

profesawaaganojipya

p/se kwa kumsaidia weka IST ya 6M na particular zake hapa
 
Mzushi uyu mkuu achana nae
 
Stori za vijiweni hizi, haya weka namba za watoto wa mjini kuna mwana ana milion 6 hapa anataka ist na wewe utakula 500k. Najua hautarudi.
Hata Mimi hiyo 6m ningekomaa nayo , ndugu yangu mmoja ni Fundi mkubwa tuu ila bado anataka 7.5m nipate IST
 
Wakuu kwema?
Nimejichangachanga nimepata 5.5m kuna mhindi nilisoma nae chuo anataka kuniuzia Toyota fielder ambayo ni plate number A, plan yangu nilitaka hasa Ist, Sienta au Rav lakini bajeti yangu haitoshi na kila mara nikijaribu kufanya saving matatizo ya kifamilia hujitokeza najikuta napaswa kuyatatua

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya suala hili,maana sina sina ujuzi wa Magari zaidi ya friendly use tuu, nini maoni yenu kuhusu hili gari wakuu, je spare zinapatikana? Gharama zake zikoje?
Gari imeshatembea 150,000km mpaka sasa, litre moja ya mafuta ni 13km ....
Chukua mnyama huyo bila kusita.. Fielder ni gari ngumu na nzuri
 
Back
Top Bottom