Gari yoyote unaweza kufanya drift ila mtatofautiana performance na speed ya kudrift kutokana na nguvu ya gari, muundo na ujuzi wa dereva.
black sniper
charldzosias
Front wheel drive inaweza drift?Gari yoyote unaweza kufanya drift ila mtatofautiana performance na speed ya kudrift kutokana na nguvu ya gari, muundo na ujuzi wa dereva.
black sniper
charldzosias
Front wheel drive inaweza drift?
Hii ni Concept Car au
Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?
Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?
Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.
Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs kuhusu mchezo huo.
Saga pira. Liza mbwa!
Kuwinda swala.
Mkuu, Bongo hapa sijawahi ona drifting zaidi na zaidi kuna Stunts tu za kawaida kama Donuts, Powerslides, Burnouts na U Turns tu.
Gari ya RWD ni rahisi sana kufanya hizo stunts hapo juu kama Powerslides, Burnout na Donuts (360°).
Ila kama gari yako ni FWD pia unaweza piga U Turns, Burnout kidogo na Powerslide pia.
Ni mchezo mzuri kusema ukweli karibu mkuu, ila umakini muhimu Sana ufanyapo hayo mambo. View attachment 1635178
Ndio, ila Kwa mtu anayejifunza au dereva yoyote ina ugumu kidogo. Maana kudrift gari inayovuta mbele inataka uwe na control sana na drift yake sio kama ya Rear wheel drive.Front wheel drive inaweza drift?
Danganya watoto afu wazame na gari ya FWD tuwakute kwenye korongoKumbe gari yoyote inaweza. Thanks seamen. So why sio kila dereva anaweza kudrift? Napataje skills za kudrift, naanza vipi?
[emoji23][emoji23]safi kabisaKuwinda swala.
Kumwambia any car can drift apo ndo unakosea...he can go for any car hajui hii FWD au RWD, akutane na kimbembe hana controls kwenye FWD (mind you he is not experienced na drifting).Ndio, ila Kwa mtu anayejifunza au dereva yoyote ina ugumu kidogo. Maana kudrift gari inayovuta mbele inataka uwe na control sana na drift yake sio kama ya Rear wheel drive.
Modifications to some extent zinakusaidia kua na uhakika na usalama zaiiid. Lower you car, tafuta tairi nzuri, mazingira pia. Nenda kajifunzie barabara ambako hakuna watu wala magari mingi kuepusha madharaKatika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?
Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?
Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.
Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs kuhusu mchezo huo.
Saga pira. Liza mbwa!
Basi tumwambie atafute Rear wheel drive (Red)- gari inayovuta matairi ya nyuma au 4wd-inayovuta tairi zote nne.Na iwe ni sedan,saloon au hatchback yenye ground clearance ndogo au uvungu mdogo sio zilizoinuliwa sana.Kumwambia any car can drift apo ndo unakosea...he can go for any car hajui hii FWD au RWD, akutane na kimbembe hana controls kwenye FWD (mind you he is not experienced na drifting).
Hadi noar?Gari yoyote unaweza kufanya drift ila mtatofautiana performance na speed ya kudrift kutokana na nguvu ya gari, muundo na ujuzi wa dereva.
black sniper
charldzosias