ukae sawa na nan? Wakat wew umeshakalishwa!! Kwan uko Lumumba haujawaona wenzeko? Kam vp watafute au nao wameshakalishwa kama wew?Naomba kwa anayejua idadi au muundo wa kamati ya fedha,mipango na uchumi ya halmashauri au manispaa ...je mwenyekiti wa halmashauri au meya wa manispaa sio mmoja wao?
TUTAKAA SAWA TU