Wajumbe wa Bunge la katiba toka Zanzibar mnajikaanga kwa mafuta yenu wenywe

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
Ikimbukwe kuwa hakuna Kiongo hata mmoja miongoni mwenu kutokea Zanzibar aliyeweza kuyafanya aliyoyafanya Mzee Aboud Jumbe Mwinyi bila ya Mzee Aboud jumbe kusingekuwapo na CCM ,lakini juu ya yote hayo unyama aliyofanyiwa baada ya kubaini hadaa zinazofanyiwa Zanzibar na kutaka kuepusha na nakama hiyo walimvuwa Urais na kumuweka kizuwizini hadi hii leo Mmungu hataremshi tena wahai kwa viumbe vyake isipokuwa tunatakiwa tujifunze kwa yaliyokwisha pita wezenu Tanganyika hawana chakupoteza isipokuwa ni faida zaidi na pindipowatakapofanikiwa kama wanavyotarajia kuweka makucha yao 100% katika uongozi wa Zanzibar na wazanzibari wenywe na mtaishia kama alivyo ishia mzee aboud jumbe kwa njia moja au nyinginekwani watahakikisha hamfurukuti Viongozi wa Tanganyika wana machozi ya mamba wanaililia zanzibar na rasilimali iliyomo hakuna asie lijuwa
 
Kwani hapa tulipofika katika ukombozi wetu alitufikisha nani hapa?
 
Back
Top Bottom