onjwayo JF-Expert Member Apr 8, 2020 1,346 1,303 Sep 5, 2020 #1 Hivi kama aliweza kuwapa nafasi ya kugombea ubunge kina Silinde, Patrobas Katambi na Gwajima huo upendo mbona hakuonyesha kwa wstoto wa Nyerere. Wote kwa pamoja wslipata kuraa 7. Hii kauli ya Magufuli kweli ina walakini kuuma na kupuliza
Hivi kama aliweza kuwapa nafasi ya kugombea ubunge kina Silinde, Patrobas Katambi na Gwajima huo upendo mbona hakuonyesha kwa wstoto wa Nyerere. Wote kwa pamoja wslipata kuraa 7. Hii kauli ya Magufuli kweli ina walakini kuuma na kupuliza