PreGE2025 Wajumbe CHAUMMA: Wenje kashahama CHADEMA, ameratibu safari yetu kuja Dar kuhudhuria Mkutano, anafanya vikao na Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
440
Reaction score
3,211
Baadhi ya watu waliotoka mikoani kuja Dar es salaam kuhudhuria Mkutano wa CHAUMMA wamelaumu kunyimwa posho walizoahidiwa baada ya kufika Dar es Salaam.

Mmojawapo anasema Wenje aliwatumia hela ya Kula kutoka Mwanza kuja kwenye Mkutano wa CHAUMMA lakini hawajapewa posho yao baada ya kufika Dar na ndiye aliratibu safari yao kufika huku.

Wamedai Wenje amekuwa anahudhuria vikao vyao vya kuwapanga huko Mwanza na tayari ameshajiondoa CHADEMA muda mrefu.

Wanadai pia Mbowe na Wenje wamekuwa wanafanya vikao kadhaa vya siri, na pesa iliyotengwa kwa ajili ya kufanikisha safari za wajumbe ni Tsh. Milioni 250.

Your browser is not able to display this video.
 
Wamenyimwa posho zao walizoahidiwa,Wenje amewatumia pesa ya kula na ameraribu safari yao which is which?
 
Njaa mbaya sana asee!! Hakuna watu makini ni wanachukua vijana kuwatumia katika upuuzi.
 
Haahaa fedha ya Abdul haiwezi kumwacha mtu salamaaaa
 
Ngoja uone kama blaablaah anaweza kucomment hapo
 
Duh kumbe ni mwendo wa mavuno ya pesa tu, masela wenyewe sasa kila baada ya maneno matano, tusi. Ni pesa za umma ama wafadhiri. Na kama ni wafadhiri watazirejesha namna gani, nani anawapa guarantee, kama ni serikali je wanasamehewa kodi ama ?

Ama ni vijana tu, ahaaaaaaa
 
Hawa ndio waliwasikia Mbowe na Wenje wakipanga mpango wa kuhamia Chaumma? Na Wenje aliye wawezesha kwenda Dar? Mwisho wakajisahau wakaanza kumsifia Lissu! Tunasubiri kwa hamu kuona watafanya nini kwenye vikao vya Chaumma Mwanza.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…