Wajue Wanawake

Ungesema "wajue wanawake ambao hawajaolewa kadri ya umri"
Maana hapo umeongelea wa upande mmoja tu(kutokana na msimamo wako) haujaongelea "wanawake" wote.
 
Nakuunga mkono asilimia 80% maana bado cjamalizana na sijafika na hao wa 36 mpk 60.....ila kwa hao wengine kuna ukweli kwa sehemu kubwaaaaaa................Mi napita nao kistaarabu tu....bahati nzuri cjui kupenda.................
 
Hahahahaaa kwa iyo mkuu we huwatamani Tu awa wadudu
 
Hilo kundi wanaopenda utumwa wa ngono wani pm basi
 
Reactions: irk
Understanding Women... UTAKUFA BADO MDOGO
We tuwajue tu kama MAMA zetu, DADA zetu na WAKE zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…