Cyprian shayo Member Sep 25, 2011 17 0 Jan 12, 2012 #1 'usiache ulichohitaji maishan, gafla ukafuata ulicho taman' (ielewe mitaa)by fid q. Mchaga alalimacho kwenye salary daima(chapchap or pure namba) by one the incredible. Ase hawa ndo mcz wanayo isimamisha hiphop bongo
'usiache ulichohitaji maishan, gafla ukafuata ulicho taman' (ielewe mitaa)by fid q. Mchaga alalimacho kwenye salary daima(chapchap or pure namba) by one the incredible. Ase hawa ndo mcz wanayo isimamisha hiphop bongo
Gang Chomba JF-Expert Member Feb 29, 2008 20,301 4,681 Jan 14, 2012 #4 amani kwa Kaka Voda Milionea... Wastue wanao waache poda wale mmea... Jipange. Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe
amani kwa Kaka Voda Milionea... Wastue wanao waache poda wale mmea... Jipange. Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Jul 20, 2010 4,516 1,404 Jan 14, 2012 #5 Heading nzuri lkn content ni ushuzi mtupu
Muuza Sura JF-Expert Member Aug 1, 2011 1,985 1,345 Jan 19, 2012 #6 Shifta said: amani kwa Kaka Voda Milionea... Wastue wanao waache poda wale mmea... Jipange. Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe Click to expand... Huyo ni langa!!!!nimepitia thread ntarudi!
Shifta said: amani kwa Kaka Voda Milionea... Wastue wanao waache poda wale mmea... Jipange. Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe Click to expand... Huyo ni langa!!!!nimepitia thread ntarudi!
jouneGwalu JF-Expert Member Apr 11, 2011 2,687 1,780 Jan 21, 2012 #7 Unapapasa vitu kijana! Sikiliza music na ujifunze zaidi, kuna mengi unahitaji kujua!
Gang Chomba JF-Expert Member Feb 29, 2008 20,301 4,681 Jan 22, 2012 #8 Muuza Sura said: Huyo ni langa!!!!nimepitia thread ntarudi! Click to expand... Usikurupuke. Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe na kipande hicho amekiimba ktk wimbo unaoitwa ''JIPANGE''. ulidhani hapa ni Facebook ama? Mdogo wangu hapa ni Jamiiforums
Muuza Sura said: Huyo ni langa!!!!nimepitia thread ntarudi! Click to expand... Usikurupuke. Huyo ni Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe na kipande hicho amekiimba ktk wimbo unaoitwa ''JIPANGE''. ulidhani hapa ni Facebook ama? Mdogo wangu hapa ni Jamiiforums