Wajue aina ya wanawake unapokuwa kitandani!

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,153
1,359
Utamu wa mapenzi ni kufurahia mnapokuwa wawili kitandani. Katika kujaribu kutafuta furaha na utamu huo wapenzi wamekuwa wakijaribu kila wanalowezo kufanya. Hii inafanya wanawake wajitie viungo utafikiri pilau wakati wanaume wenyewe wakijaribu kujibusti ili iwafanye wapige gemu kwa muda mrefu. Lakini kuna kitu kimoja ambacho wanaume hawakijui wanapokuwa kwenye gemu na wapenzi wao. Hawajui wapenzi wao wanafurahia nini wanapokuwa kitandani.

Kuna wanawake wa aina tatu

Aina ya kwanza: Mtiifu
Nikisema mtiifu nafikiri unajua maana yake. Hawa ni wale wanaofuata masharti, ukimwambia lala kulia analala, lala kushoto ana lala, ukimwambia pinda mgongo anapinda. Chochote utakacho mwambia atafanya. Wanawake na namna hii ndio wengi katika jamii yetu. Hawa ni rahisi sana kumfikisha kileleni.

Aina ya pili: Mjeshi
Hawa kwa jina lingine huwa nawaita waganga wa kienyeji. Wana masharti hao. Hawa ndio wale unaowasikiaga usiniguse hapo, fanya pole pole, hiyo staki. Sasa hawa ni ngumu wakikutana na mwanaume mjeshi maana kila mtu anataka kutawala gemu. Kutokana na mila zetu ni ngumu wanawake wa namna hii kukuambia anavyo jisikia. Na hivyo inakuwa ngumu mwanawake wa namna hii kumfikisha kileleni.

Jinsi ya kudeal na mwanamke huyu ni kumpa nafasi akuambie anataka nini. Akikuambia hataki hiki mwambie anatakaje. Jaribu kumpa nafasi ya mikao ile ambao ina mpa nafasi ya kuonyesha ujeshi wake mfano female on top.

Aina ya tatu: Nusu mtiifu, nusu mjeshi
Hawa wanatabia za makundi mawili hapo juu. Ukimwambia lala ana lala, lakini wakati mwingine wana kuambia ngoja nikukalie dear. Utamu gani huo. Wako responsive sana hawa. Position lolote utakalo muweka lazima afike Kibo juu ya mlima Kilimanjaro.

Ndugu yangu mapenzi ni matamu sana ukimuelewa mpenzi wako. Kuna wenzako wamemuelewa mpaka mkeo wanampa utamu.
 
Ile nyimbo "Nampa papa" mbona ndio jina lako mkuu?? Kuna hisa zako kwenye ile nyimbo?
Ahsante!
 
Back
Top Bottom