kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
Viongozi wa chadema shinyanga mjini wahamia ACT baada ya kuchoshwa na siasa za uzushi za chadema
Walio hamia ACT ni pamoja na Mwenyekiti wa kata ya kambarage ndugu Samwel dalla katibu muenezi kata Merchiory Tafuta, muhazini kata samuel raphael na kata ya chamaguha ni zacharia Samsoni mjumbe mkutano mkuu wilaya na dada misanya muhasibu wa tawi la kambarage
Pamoja na katibu wa solwa bwana Godwin Makomba a.k.a (shelembi mdogo).