Wajawazito Walala chini Geita

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
​

​

Imeripotiwa kuwa baadhi ya akinamama wajawazito na ambao tayari wamejifungua katika Kituo cha afya cha Katoro Wilayani Geita, wanalazimika kulala watatu katika kitanda kimoja huku wengine wakihatarisha afya zao kwa kulala chini. (Azam TV)

Pamoja Na wabunge Na madiwani wa upinzani kuunga mkono juhudi lakini bado hali nchini imekuwa mbaya sana.
 
Hii hali mbona ni kawaida sana kwenye hospitali za umma!.mateso ya wa tz n mengi mno labda mbinguni huko ndio kutakuwa na nafuu kwa wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio kazi ya vyombo vya habari ,sio ile nyengine
 
Afadhari huko,huko namikupa tandahimba kuna zahanati ya tarafa ina kitanda kimoja tu wodi ya wajawazito na kujifungua ni zamu kwa zamu na hao wakunga sasa,wanamijitusi balaa kiukweli sie watu weusi tumekwama dah
 
Tukiamua tunaweza kurekebisha haya mambo. Vipaumbele, vitu gani muhimu kwetu.
 
Msukuma haya ndiyo mambo ya kudili nayo, achana na Lissu si level yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…