ni software nayo tumia imeandika hivyo hata wewe nikikupa inaitwa greenshot mda sijui vipi na kuhusu speedtest hapo hata wewe ingia halafu angalia mda kama itakuonyesha mda wako website inaitwa yourspeedtest.com haita onyesha mda wako sijui kwa nini ila ilikuwa ni usiku saa sita angalia hata mda niliop upload zile picha saa sita usiku
Peterkk unalo hilo!! wajua wewe ni wazamani sana ila unaingia humu kiminyato minyato yaani uchangii hata post za wenzio so lazima wakutilie shaka mkuu!!!