wajanja night noma

DanielP

Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
97
Reaction score
25
hapo tu modem moja je 2 huwa napata hadi 800kbps download speed au 0.98 mara moja sana ndo napata hiyo 0.98kbps download speed NA HII YA 3 NDIO TEST YANGU YA MWISHO
WEBSITE INAITWA YOURSPEEDTEST.NET NA SPEED NAPATA KUBWA HAPA BALAA RUDINI VODA HIYO MODEM MOJA TU SIWEZI WADANGANYA AU WAPOTEZEA MDA HAYA HII LOW SPEED
ona hii hapa na download
 
daah..leo nna sh. 183 salio n nmesahau kununua vocha yan ndo nmeikosa ..
 
Mkuu Peterkk uibukaji wako unaninipa shaka maana na jiuliza iweje miaka yote hiyo ubaki mtoto wakati wenzio wanaota mvi??
Chakushangaza zaidi huwa unaibuka kipindi ambacho watu wanajisevia bila jasho then siku chache mbele trick zinabuma nawe unasepa mpaka issue nyingine iibuke.
Wakuu wenyen yuzi tata wekeni darubini zenu kwenye hiki kichwa maana naona kimekaa Ki spy zaidi na hapa sitoshangaa hii ya kubundi ikibanwa speed au kusitishwa kabisa
 
Last edited by a moderator:

mkuu jinsi ulivoongea, kwa mtu ambae si member wa jukwaa hili lazima abaki anatoa macho 2
 
Last edited by a moderator:
umesomeka mwanangu mwenyewe!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu kuna haja ya kuwa na laini zaidi ya moja,mi huwa ikiwa hivyo hiyo namrushia mtu halafu nakopa 450

naunganisha vitu,full kudownload hadi asubuhi!..
daah..leo nna sh. 183 salio n nmesahau kununua vocha yan ndo nmeikosa ..
 
Mr Kicheko, umesema ukweli kabisa. Hata mimi sioni sababu ya mtu kuwagutusha wenye Basi kuwa kutokana na speed yao wanatunufaisha, kwa maana sisi wafuatiliaji wa haya mambo inatosha kujua kuwa mambo yapo vizuri kuliko kupayuka. Kuna mdau humu alishawahi kulalamika kua inalipa ya mwezi ila akimaliza gb2 wanabana speed wakati Mabundi wao mwanzo mwisho hivyo kwa Maneno haya si bure zikabanwa.
 
Last edited by a moderator:
mkinionyesha spidi ya hivyo kwa kweli mnaniumiza kichwa sababu hapa nilipo spidi ikijitahidi kuchezea 20kbps yaani unawaringishia wenzako kweli. Mimi mtu asiniambie hamia Voda au Airtel ila aniambie ''Hamia Jiji''
 

mkuu kama mtu hana cha ku post ndo maana kimya sio spy?
au nusha spy data zako zozote
 
Last edited by a moderator:

voda ndo walivyo ukinunua ya mwezi matatizo
 
Last edited by a moderator:
kwa anaye hitaji idm 6.15 bulid 5 full na screenshot kama hana aseme au ani pm
 
mkinionyesha spidi ya hivyo kwa kweli mnaniumiza kichwa sababu hapa nilipo spidi ikijitahidi kuchezea 20kbps yaani unawaringishia wenzako kweli. Mimi mtu asiniambie hamia voda au airtel ila aniambie ''hamia jiji''

maeneo gani hayo unapata speed ya 3g hivyo maana hata kwenye simu download speed napata hadi 300 kbps nokia 5230
 
internet speed haijawai kuwa poa kama hawa jamaa wa basi jekundu, walivokuja na promo, yani 4mbps download speed ni kawaida kabisa...
 
Nishaweka nimeandika post mpya full idm 6.15 build 5
 
hivi wajanja night si inaanza saa 4 usiku? sasa mbona image zako zinaonyesha zimechuliwa saa nane mchana na saa 9 mcaha? hiyo siyo usiku kaka
 
Keyser Söze;5956156 said:
hivi wajanja night si inaanza saa 4 usiku? sasa mbona image zako zinaonyesha zimechuliwa saa nane mchana na saa 9 mcaha? hiyo siyo usiku kaka

very interesting, hata hiyo screenshot ya idm inaonyesha yafuatayo; 2013-03-18 16_23_19
Napata shaka kuhusu hii post, na aliyeipost.
 
maeneo gani hayo unapata speed ya 3g hivyo maana hata kwenye simu download speed napata hadi 300 kbps nokia 5230

Huku kwetu hakuna 3g ila kuna edge na gprs tu ndo maana nasema mniambie nihamie jiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…