Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Nov 13, 2016 #1 Mwenzenu mie nilibahatika kupata bahati ya kufuta ujinga enzi zile za Mwalimu kwa mpango ule wa 'elimu ya watu wadhima'. Mdhaada twafadhali........
Mwenzenu mie nilibahatika kupata bahati ya kufuta ujinga enzi zile za Mwalimu kwa mpango ule wa 'elimu ya watu wadhima'. Mdhaada twafadhali........
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Nov 13, 2016 #2 Amesema " Kama wewe ni mzinifu acha mara moja ni dhambi kuzini. Ila kama unataka kuzini oa kabisa"
Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Nov 13, 2016 Thread starter #3 vollies said: Amesema " Kama wewe ni mzinifu acha mara moja ni dhambi kuzini. Ila kama unataka kuzini oa kabisa" Click to expand... Hivi ukishaoa hilo tendo bado linaitwa kudhini???
vollies said: Amesema " Kama wewe ni mzinifu acha mara moja ni dhambi kuzini. Ila kama unataka kuzini oa kabisa" Click to expand... Hivi ukishaoa hilo tendo bado linaitwa kudhini???
isambe JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 2,195 Reaction score 1,410 Nov 13, 2016 #4 Ranks said: Mwenzenu mie nilibahatika kupata bahati ya kufuta ujinga enzi zile za Mwalimu kwa mpango ule wa 'elimu ya watu wadhima'. Mdhaada twafadhali........ View attachment 433716 Click to expand... Hiyo ndio maana ya karma.
Ranks said: Mwenzenu mie nilibahatika kupata bahati ya kufuta ujinga enzi zile za Mwalimu kwa mpango ule wa 'elimu ya watu wadhima'. Mdhaada twafadhali........ View attachment 433716 Click to expand... Hiyo ndio maana ya karma.