Love like you've never been hurt and live like it's heaven on Earth."
- Mark Twain
Maria ujumbe wake ni kwamba hakuna mwanaume timilifu! ukimsubiria utakaa hapo mpaka utageuka mifupa Nime nukuu maneno ya Mark Twain hapo juu anasema, Penda kanakwamba hujawahi umizwa, ishi kama mbingu na nchi mwisho wa kunukuu. Wakati unaokubalika ni sasa! Hakuna maisha ya kesho!