Waiting for aproval

Mkuu pole pengine mtaunganishwa na hiyo third round.ebu nisaidie nilimuombea dogo,hayo majina ya fitst na second selection yamewekwa wapi?
 
bas itakua baadh ya vyuo mbona ya tumain makumira c jayaona kwa web yao???? msaada victa
 
Ukiandikiwa waiting for approval ndo umeisha chaguliwa Ww jiandae kuripoti tu. All the best guys!
 
Yameachiwa yana km wiki hivi..acha kuwapotosha vijana
sipotoshi m2 hapa,,TCU wamefanya selection kwa 2nd ila vyuo havijatoa majina ya wale 2nd round bdo,hcho ndo nilichosema..km vyuo vmetoa 2nd batch naomba uniorodheshee.
 
bro. mbona nime angalia kwenye website ya must. 2nd Bach hawajatoa. au naomba uniangalizie ulipo yaona kaka
huyu anaonekana anakupotosha,MUST ingetoa majina ungeyaona humu humu,nafikiri wanasubiri 3rd round ipite deadline yake then watoe wajina yote kwa pamoja yaani ya 2nd batch na 3rd batch.
 
huyu anaonekana anakupotosha,MUST ingetoa majina ungeyaona humu humu,nafikiri wanasubiri 3rd round ipite deadline yake then watoe wajina yote kwa pamoja yaani ya 2nd batch na 3rd batch.

Okey..., thanx bro, nimekupata ngoja tusubil
 
Okey..., thanx bro, nimekupata ngoja tusubil

Mkuu kama majina ya must ambayo yapo online ni yale ya 5/10/2015 ambapo hapo second round ilikuwa imekwisha isha 30/9/2015

Sasa kama m2 atasema cyo ya second round, "aeleweshe jamvi" kwasababu yale hayaja specify kwamba hii ni 1st round au 2nd round
Yenyewe yametoka wiki baada ya dirisha la 2nd round kufungwa
Phone imenizinguwa kuyatuma hapa bt "nitumie email yako nitakutumia hayo majina"

Ukipata jina lako n sawa ukilikosa pia co kec,utasubiri majina mengine
 

Kwenye profile yangu ya tcu, niambiwa kuwa nimekuwa comfirm for admission MUST, na nimeangalia majina ya must first batch, jina langu halipoo.....ndiyo maana nasema ngoja tusubili kwa second batch....
au kwa anaye faham zaid, whats goin on plz.......
 
Dah! Subira yavuta heri ila pia ngojangoja huumiza matumbo ndo haya ya TCU.
 

Oky
Basi ni vyema kusubiri may be yatakuja na 3rd round pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…