Nenda kule kwa Habari mchanganyiko. Jina lake ni George Mwita Waitara. Sina hakika kama ni yule Waitara wa CHADEMA, lakini kuna mtu kaniambia ni yeye, one and the same.Waitara yupi
Nimepata habari ambazo sio za kudhibitisha ya kuwa mmoja wa wapambanaji mahiri wa Chadema Waitara ni miongoni ya waliopoteza maisha. Tunaomba wenye habari zaidi watueleze. Cha kushangaza niliona kama picha yake na viongozi wengine kwenye maandamano lakini jina lake halikuwepo kwenye orodha ya washtakiwa.
kama mnamaanisha ni CHACHA MWIKABE MWITA WAITARA.....mmoja wa makada ,diwani huko tarime na kiongozi wa chadema ...kuna haaja ya CHADEMA na dola kumtaka akanushe haraka kama sio yeye......jueni kuwa hizi tetesi zikifika TARIME tu watu wataingia mitaani na mapanga...
this issue is sensitive securitywise!!!!!
Nenda kule kwa Habari mchanganyiko. Jina lake ni George Mwita Waitara. Sina hakika kama ni yule Waitara wa CHADEMA, lakini kuna mtu kaniambia ni yeye, one and the same.
Sure...Sio yeye..Ni majina tu kushabihiana.Siyo yeye jamani
Tunashukuru kwa ufafanuzi mkuu!!Sure...Sio yeye..Ni majina tu kushabihiana.
Huyu alliyeuwawa ni mJASIRIAMALI anayeishi Arusha eneo la SAKINA!...right?
Sure...Sio yeye..Ni majina tu kushabihiana.
Huyu alliyeuwawa ni mJASIRIAMALI anayeishi Arusha eneo la SAKINA!...right?
Kwa hiyo mnanambia kuwa huyo mliedhani amekufa uhai wake una thamani zaidi kuliko aliyekufa ki - kweli kwa sababu aliyekufa "is just an enterpreneur from Sakina area". You are letting me down people!! Hebu fikirini kidogo kabla hamjaanzisha mada na kabla hamjachangia, please.
It hurts me most because nina uhusiano wa kidugu na marehemu huyo!!
Pole sana ndugu, ila sidhani kama aliyekufa hana thamani ila mtoa mada alihitaji tu ufafanuzi kutokana na majina kushabihiana.Kwa hiyo mnanambia kuwa huyo mliedhani amekufa uhai wake una thamani zaidi kuliko aliyekufa ki - kweli kwa sababu aliyekufa "is just an enterpreneur from Sakina area". You are letting me down people!! Hebu fikirini kidogo kabla hamjaanzisha mada na kabla hamjachangia, please.
It hurts me most because nina uhusiano wa kidugu na marehemu huyo!!
Umeenda kwenye hisia zaidi kuliko dhana ya mleta mada!Kwa hiyo mnanambia kuwa huyo mliedhani amekufa uhai wake una thamani zaidi kuliko aliyekufa ki - kweli kwa sababu aliyekufa "is just an enterpreneur from Sakina area". You are letting me down people!! Hebu fikirini kidogo kabla hamjaanzisha mada na kabla hamjachangia, please.
It hurts me most because nina uhusiano wa kidugu na marehemu huyo!!